Pressure - Hafsa Ft. Banana Zorro
May 11, 2007
Blogsphere: TechnoratiFeedsterBloglines
Bookmark: Del.icio.usSpurlFurlSimpyBlinkDigg
RSS feed for comments on this post | TrackBack URI for this post
Comments
4 Responses to “Pressure - Hafsa Ft. Banana Zorro”
Got something to say?


Banana - umefanza makubwa sana kati hii ngoma.
Bibie pia sauti yako na songi lenyewe lenda sawasawa.
vyombo na biti- mzee mzima kama kina Sam Mapangala lazima wajiulize watoto hawa wametokea wapi.
tuwasiliane tuweze kubadilishana mawazo.
Very entertaining. Hongera sana!
Hey, Banana and your baby, good job ndugu zangu. Kwakweli, after liestening to this song, nimejisikia namiss sana home - TZ. Lakini mnatufanya tuonje vitu vya nyumbani namna hii, safi sana. Banana najua una sauti nzuri siku zote, lakini aliyenishangaza ni huyo mwanadada. Kaimba kama mzoefu wa miaka kibao! Angekuwa nchi za watu, hakika angekonga nyoyo za watu. Maeneo kama ya huku states. Kizazi kipya kweli mnatoa mambo mampya.
ASANTE SANA.