Neila – Tundaman ft Chid Benz
April 10, 2008
Blogsphere: TechnoratiFeedsterBloglines
Bookmark: Del.icio.usSpurlFurlSimpyBlinkDigg
RSS feed for comments on this post | TrackBack URI for this post
Comments
13 Responses to “Neila – Tundaman ft Chid Benz”
Got something to say?


oyaa vipi mimi niliku nina taka nyimbo ya chidi ile ambayo ame shirikishwa na
mwasiti
nina omba nyimbo ya mwasiti na chid
naomba nyimbo ya kidato kimoja
naomba wimbo wa TMK Wanaume family UTOKI NA MIMI. Naitwa Paul Henerico.
NAOMBA WIMBO WA UMRI KUTOKA TMK. NAITWA PAUL HENERICO WA KATOKE T.TC
bab kubwa babu
naomba wimbo wa 2nda man sin naitwa saud kutoka oman mackat
Ebwana eee!!!! mimi na mind track ya m2 mzima benzino inayo kwenda kwa jina la DAR STANDUP ime2lia ile mbaya!!!
Ebwana eee!!!! mimi na mind track ya m2 mzima benzino inayo kwenda kwa jina la DAR STANDUP ime2lia ile mbaya!!! mimi naitwa AZIZI JUMA a.k.a COMPLEX wa TARIME T.T.C
M2 MZIMA VP BENZINO ? MI MC CHIPU KIZ NAFANYA MZIKI AINA YA H.I.P H.O.P NAOMBA KU-JOIN LAfamily INAKUAVIPI? MASHARITI M2 WANGU NIJIBU kuptia email Adress; azizijaybanks@yahoo AU azizicash@yahoo.com
oyaa mimi ni musty naomba darsalam stand up
Mimi Khamis Namfagilia sana chid naomba nyimbop ya nitabaki nakulilia
Mie peter nampa shavu Z’ANTO na wimbo wake KIDOLE KIMOJA.Kiukwel amewashika na kuwapa ukwel wale wanaowanyoshea wengine vidole na Ukimwi kwa ujumla.