Natamani – MB Dog

July 16, 2008



Blogsphere: TechnoratiFeedsterBloglines
Bookmark: Del.icio.usSpurlFurlSimpyBlinkDigg
RSS feed for comments on this post
 |  TrackBack URI for this post

Comments

13 Responses to “Natamani – MB Dog”

  1. rahim on July 17th, 2008 11:51 pm

    nyimbo ipo poa nakumbuka sana bongo ninapoisikiliza hii nyimbo namkumbuka sana mshikaji wangu madee .

  2. chilala wa ilala on July 21st, 2008 4:50 am

    nakuwaminia mzee kaza buti hii nyimbo nanikumbusha mbali sana yaani nikiisikiliza huwa nakumbuka bongo mazee niko ndani ya ilala mtaa wa arusha kwa uwesu mapweza hehehe>

  3. john kapao wa kawe on July 21st, 2008 10:40 am

    Big up sana MB DOG.nyimbo ipo poa sana.umefunika ile mbaya.

  4. SaLaMa on July 30th, 2008 8:51 am

    Naona raha naona raha naona kaka wimbo umetulia kinoma noma big up mazee .

  5. TATU on July 30th, 2008 9:30 am

    wimbo mzuri sana tu MB Dog ila kata kucha bana na pia hizo nywele mmh mie sichemi ki2 pia natamani yako sio kama kivile mtu wangu sikufichi ukilinganisha na Ratifa, siamini na nyinginezo kifupi karibu albam nzima ilifunika okey big up .

  6. kadanje on August 6th, 2008 2:10 pm

    ebwane song la mchizi mb dog (natamani) kwa kweli limebamba sana nampa bonge la shavu andelee kukamua hivyo hivyo.

  7. ngai on August 13th, 2008 1:54 am

    YEAH!!!!!

    BONGE LA SONG NI ”KITU GANI KINACHOKUSUMBUA ” SEMA NITAKUPATIA”
    POA MZEE MADEE NAKUKUBALI MZEE VESI ZAKO ZIMEENDA SHULE.

  8. Gath on September 11th, 2008 3:47 pm

    I feel dat song ile mbaya yaan sijui nisemeje. Upo juu mtu wangu. Big up men.

  9. daywell on September 18th, 2008 5:26 pm

    BIG UP MZEE UMENIKUNA MPAKA BASI

  10. jumanne kibasila on September 24th, 2008 4:04 am

    nimekubali mzee ata uku uk.wabongo wote tunaona raha

  11. animoh on March 31st, 2009 9:37 am

    keep up wid da GD work .i lv you dear.

  12. alycow on April 8th, 2009 1:25 am

    mb dog ww mtaalamu,nice one..

  13. tiner on January 26th, 2010 7:57 am

    namfagilia kinoma ananipa raha sana mb utamalizia mwenyewe.sijui hata nisemeje nakupa big up nikija tz nitakutafuta kijana kwa kazi nzuri

Got something to say?