Mafuta ya Bure sasa kupatikana Bongo

November 14, 2007

Kampuni ya Baraka Entertainment ikishirikiana na kampuni ya PUSH inakusudia kuanza tarehe 23/11 kuendesha DRAW maalumu iitwayo FREE GAS FRIDAY ambapo watanzania watapaswa tuma ujumbe mfupi MJ kwenda katika number 15551 ili kuingia katika DRAW hiyo kubwa kabisa ambayo itashirikisha nchi nzima kwa wateja wote wa TIGO,CELTEL,TTCL na VODACOM.

Mtu anatakiwa kutuma ujumbe huo mfupi na kila ijumaa draw itachezeshwa na mshindi wa kwanza kupata FULL TANK YA MAFUTA (PETROL) na mshindi wa pili atapata Shs.50,000/= za muda wa maongezi katika simu na WATATU atapata Shs.25,000/= na hii ni kila siku ya ijumaa kuanzia 23/11.

Draw imeshaanza na watu wanapaswa anza tuma ujumbe huo kujishindia.

Draw hii ni mahsusi kwa wale wenye magari na wale wanaotaka kupata muda wa maongezi, Imagine unatumia shs.250/= tuu kujihakikishia ushindi wa FULL TANK au muda wa maongezi hii ni kama bure kabisa.

Madereva Bongo sasa kunufaika maana unaweza tuma ujumbe mmoja au miwili na ukawa MSHINDI watu wa DALADALA, taxi na hata MABASI nadhani watakuwa wamewezeshwa sana. Imagine Full tank kwa shs 250/= tuu.

Ni bone ya zawadi kwa watanzania kwa sikukuu hizi za Xmasi na Mwaka mpya. Watanzania wachangamkie tender sasa.


Blogsphere: TechnoratiFeedsterBloglines
Bookmark: Del.icio.usSpurlFurlSimpyBlinkDigg
RSS feed for comments on this post
 |  TrackBack URI for this post

Comments

Got something to say?