Hao - Mwasiti Ft. CHidi Benz

July 16, 2008



Blogsphere: TechnoratiFeedsterBloglines
Bookmark: Del.icio.usSpurlFurlSimpyBlinkDigg
RSS feed for comments on this post
 |  TrackBack URI for this post

Comments

27 Responses to “Hao - Mwasiti Ft. CHidi Benz”

  1. SaLaMa on July 17th, 2008 10:49 am

    katika wimbo huu napenda sana Shidi Benzino sio utani wimbo mzuri safi sana .

  2. rahim on July 18th, 2008 12:27 am

    huyu dada hanajua kuimba sana na hii nyimbo ipo sana na mzee wa kushirikishwa kanata vizuri na yupo fiti sana.

  3. big lwizo on July 18th, 2008 9:19 am

    chid benz mwanangu umemaliza.

  4. PAUL on July 22nd, 2008 7:14 pm

    SIO SILI WIMBO HUU UMETULIA. NAPENDA WASHILIKI WOTE WALIVYO SHILIKI.

  5. ngai on July 29th, 2008 5:56 am

    Chid Mzee nimekukubali bonge la song mwanagu ,big up mzee pamoja na Mwasit
    Sauti yatoa nyoka pangoni hiyooo,Haooooo.

  6. no quire on July 30th, 2008 12:45 pm

    jamaa katulia mbaya na huyo sister kakamatakinoma

  7. no quire on July 30th, 2008 12:49 pm

    JAMAA NI NOMA KISHENZI YANI

  8. kadanje on July 30th, 2008 9:52 pm

    Mzee chidi nakupa big up katika ili song umeonyesha uwezo

  9. kadanje on July 30th, 2008 9:54 pm

    Mwasiti sauti yako imetulia

  10. David on August 4th, 2008 10:24 am

    Mwasiti we balaaa! Chidi naomba hiyo style ya kufoka uciache una bamba balaaaa!

  11. johnstone on August 4th, 2008 6:52 pm

    kweli nyimbo iko njema chi chi chi chidi benzi ni noma

  12. Namy on August 7th, 2008 9:13 am

    Huu wimbo umesimama yaani kwanza ujumbe umetulia sana unaendana na wakati tuliopo lakini pia waimbaji, namaanisha Chid na Mwasiti wametulia sauti zao zinaendana na wimbo yani big up sana, sometimes sioni sababu ya kusikiliza nyimbo from outside TZ wakati TZ vichwa vya muziki vipo,ndio kama hivi hapa.

  13. Nic on August 11th, 2008 2:25 pm

    This is in-credible

  14. sophy on August 12th, 2008 7:50 am

    yani ni noma

  15. mfangavo on August 13th, 2008 3:13 pm

    ninoma jamaa kasimamama ile mbaya na mwa siti katulia pia nyimbo hiii inaweza kusimama chanel O

  16. Daydreamer on August 27th, 2008 8:36 pm

    Yaani sijui niseme nn…..yaani nibomba mbaya bonge la jimbo never seen an hear b4………….kip it up guys.

  17. polyn on August 28th, 2008 6:24 am

    chidi wee mkali,yaani balaa ucnibonyezee,hata dishizo wa kilvya anakukubali

  18. alex on August 31st, 2008 11:52 am

    chidi unatisha! its true that you are unmeasurable with freestyle crown.

  19. Teddy on September 3rd, 2008 12:35 pm

    Keep it up mwasiti and chidi, song is great!

  20. furaha maugo on September 11th, 2008 12:43 pm

    yani ucnipmie wimbo ume2lia ile mbaya mwasiti na chidi nawafagalia mbaya,kwani ujumbe umefika kwa wanafki na wanoknok

  21. james mcharo on September 11th, 2008 12:46 pm

    big up mwacti&chid benz mwimbo umetulia mbaya nakukumbuka enzi zile unaperform club billicanas kabla ujatoka but now haukamatiki

  22. ROSE on December 30th, 2008 10:48 am

    Heeeeeeeeeeeeeeee nimeipenda sauti ya mwasiti imepangiliwa na ujumbe pia.keep on it baby.

  23. Zongo on January 2nd, 2009 6:51 am

    Mgeni(Mwasiti) weeeeeee hapo nimekukubali.Hilo song linaujumbe wa kutosha kabisa hamna ubish kasisa.Kwa 100 % hauna mpinzani endeleza moto huo huo usiwe moto wa kifuu,Najua THT inawasaidia sana mtu wangu.Keep in touch mtu wangu

  24. JOSIE on January 7th, 2009 1:15 pm

    i luv u mwasiti

  25. mallah on February 27th, 2009 12:17 pm

    Big up sana vijana wangu mpo juu zaida ya tawi keep it up guyz.

  26. nayla on March 1st, 2009 4:18 pm

    nice song n ur so nice keep it up

  27. assady555 on April 16th, 2009 11:57 am

    chid anaweza lakini ache zake za chi chi chi anaharibu nyimbo za watu

Got something to say?