Enzi Zetu – Mh. Temba
July 16, 2008
Blogsphere: TechnoratiFeedsterBloglines
Bookmark: Del.icio.usSpurlFurlSimpyBlinkDigg
RSS feed for comments on this post | TrackBack URI for this post
Comments
16 Responses to “Enzi Zetu – Mh. Temba”
Got something to say?


temba nakuaminia sana nyimbo ipo poa sana kaza buti wewe kweli kichwa
kaza buti baba hico kichwa kwani nyimbo zako zimekaa poa.
aaah haayaaah bwana msimamo ni ule ule toka juu na chini mh Temba sina la dhiada kinukta ni kimya kimya …,,,,,ogopa hicho kichwa yaani! Kikalii toka long ago kipwenti BIG UP sanaaa//////..,,”’
Mwanangu Temba Hapa Umechana Saaaana I Like Ur Style Wajukuu Na Babu Dah Mwanangu We Kichwa Mjukuu Nae Kachana Si Mchezo BIG UP MCHIZI WANGU !!!
Mh. temba nakupa big up kwa song lako la enzi zetu kweli wewe ni mtz halisi unaependa sanaa ya bongo iendelee hasa mziki wa kizazi kipya kwa kuonyesha jinsi gani mziki wa sasa unavyoendelea .EBWANE endelea kukamua hivyohivyo ucogope mungu yuko na wewe.
Mh.Temba huyooo!!!! Mshikaji ye nalisapoti kwa kweli hili songi la kutukumbusha enzi zetu hata na style yako.
kwanini sioni music ya mh temba kwanini hatuoni kweye Internent bona kwajuwanini hatuoni tembb?
BIG UP MUESHIMIWA TEMBA najua unaweza jeshi lako unariongoza nyimbo kari kinyama mtu wangu kaza
Baab kubwa aisee nyimbo inavuta hisia alafu inakahistory, ukija kwenye kiitikio ndo usiseme burudaani kabisa hauchoki kuisikiliza. nategemea nyingine zaidi ya hiyo.
nataka ku uriza swari mja sasa bona hatuoni mh temba music yake namufagiria sana ananimbia nyimbo nafurahi sana and you friend chege he sing good need listen for chege i need send my email thank u
i love this song
Niaje mheshimiwa?ebwana mi nakukubali kinoma mwana.kaza buti achana na wa2 wanaokuletea fitna bob.we nikama Kanye wa bongo.fanya kazi mwana.
YOU ARE SO MUCH GOOD IN MUSIC KEEP IT UP MY DEAR\
HAVE A NICE WORK AND LET GOD BE WITH YOU IN YOUR WORK
Muheshimiwa ukweli mpanglio wa nyimbo zako umevunja rikodi. Maana unapanga mistari sawa na utashi wa wasilikilizaji. Loh….!! Unastahili sifa tele. Kuimba bila shaka ni kipaji chako, na wala sio kubahatisha kama wanavyoweza kufukiria wengi. Kaza buti, bwana mkubwa.
sauti yako mchizi inakutofautisha kabisa na wasanii wengine.kwa hiyo wewe nimsanii wa pekee kabisa.kaza buti temba.
E BANA KIMSINGI UKO JUU .PINI IMETULIA ILE MBAYA.ILA KAZA BUTI MZEE USIBWETEKE NA MISIFA ITAKUMALIZA KISANII.NI HAYO TU MTU MZIMA .KILA LA KHERI KWENYE GAME ,CHAOOOOOOOO.