Hawena – Kassim
July 16, 2008
Blogsphere: TechnoratiFeedsterBloglines
Bookmark: Del.icio.usSpurlFurlSimpyBlinkDigg
RSS feed for comments on this post | TrackBack URI for this post
Comments
13 Responses to “Hawena – Kassim”
Got something to say?
July 16, 2008
Blogsphere: TechnoratiFeedsterBloglines
Bookmark: Del.icio.usSpurlFurlSimpyBlinkDigg
RSS feed for comments on this post | TrackBack URI for this post
13 Responses to “Hawena – Kassim”
Got something to say?
jamaa unajua kuimba hongela sana nyimbo nzuri unanikumbusha mbali sana
Send to me mp3 music of naksh naksh (ali kiba). thank you.
Hizo nyimbo bomba sana. Je yawezekana kuzi-download kwenye PC yangu.?
Natamani iwezekane.
Natanguliza shukurani.
e bwana system hii iko poa sana maana hata ofisini sichoki, nakula music huku nachapa kazu. big up sana wataalamu
ebwana song limetulia ile mbaya kwani siishi hamu kulisikiliza BIG UP MZEYAAAA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Ebwana c mchezo mambo yapo hapa!! Siku zote sikufikiria kupata kitu kama hiki. Hebu nieleze vipi nita download mavituuuuuz!!!!. Big up saaaaana.
mapigo taratibu,mawazo hukumbuka mbali,nyimbo imenigusa kama kwamba meimbiwa mm simchozoMJOMBA KASSIM
awena hanishi hamu,once again hongera sana…
kassim wimbo huu umetulia sana. im lovin it
*lizzy*
Yah man nyimbo ya Hawena imetulia sana big up man!
ebwana mtuwangu hii nyimbo umeimba babu hongera sana!
hii wimbo inaongea ukweli Big up Kassim
wow thanks kwa kutuwekea nyimbo nzuri