Daima na milele - MarLaw
April 10, 2008
Blogsphere: TechnoratiFeedsterBloglines
Bookmark: Del.icio.usSpurlFurlSimpyBlinkDigg
RSS feed for comments on this post | TrackBack URI for this post
Comments
7 Responses to “Daima na milele - MarLaw”
Got something to say?


Kwa wapenzi wa MarLaw,
Album yake iko mtaani. Tafadhali jipatie album hiyo!
Karibu
am still say and i wl keep on saying Marlaw anadatisha. Album yake inatisha. Kijana keep on working never give up.
keep on working
jamaa anatisha,anafanya for real na naikubali sana hii style ya kufanya kama live version flani ambayo wasanii wa ukweli hufanya hivi,so jamaa ni wa ukweli,kip it up marlaw and you deserve hiyo ward cos yo´v gat talent,
Oya msela anatisha kwa ubunifu wa hali ya juu .Kwani style zake siyo za kuiga.
I provide special motivation him. Tie it up coz ur effort makes u success.
Kila mtaa nyimbo ime heat ile mbaya . kwani dogo anaimb kwa hisia kali sana .
kiasi kwamba mtu unaweza ukapagawa na mzuka ukapanda gafla
This guy is mighty…has one of the best voices for a male vocalist. He makes all of us proud. Beautiful. Very beautiful.