Kabiliana na changamoto katika maisha

March 27, 2008

KUNA wakati maisha yako yanaporomoka kutokana na kupatwa na misukosuko ya maisha kama vile kufiwa na mke, mume... Read more »

Spika Sitta, hili usilinyamazie

March 27, 2008

NINAFUATILIA sana nyendo za kisiasa za Spika wa Bunge, Samuel Sitta, kwa sababu ni mmoja wa wanasiasa ninaowahusudu.... Read more »

Serikali itazame vyombo binafsi vya habari

March 27, 2008

JANA, Rais Jakaya Kikwete, alizindua Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC). Shirika hilo limeunganisha vilivyokuwa... Read more »

TANESCO ilivyofikishwa ICU

March 25, 2008

SHIRIKA la Ugavi wa Umeme Tanzania (TANESCO) lipo taabani kuichumi, kiasi cha kushindwa kuzalisha umeme unaotakiwa,... Read more »

Simu za watu na uchumi wetu

March 25, 2008

‘KWA wiki moja hakuna mtu hata mmoja ambaye ameshanipigia simu, nalazimika kuweka dola ili nianze kuwasumbua... Read more »

Tatizo la njaa lisitumike kujinufaisha

March 25, 2008

HATIMAYE Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imetoakauli ya kukubali kuwapo kwa njaa katika vijiji mbali vya Wilaya... Read more »

Kombe ondoa aibu hii kwa trafiki

March 25, 2008

KATIKA gazeti hili toleo la jana kulikuwa na habari iliyotolewa na Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini,... Read more »

Hakuna njia ya mkato kuufikia utajiri

March 22, 2008

KAMA vile nyuki warukavyo kipindi cha maua kuchanua, hawaruki hovyo, bali hunyonya kilichomo katika maua hayo na... Read more »

Bongo hii, kila kitu kinawezekana

March 22, 2008

WACHA niropoke kama ilivyo kawaida yangu mwanakwetu. Ni kipi kisichowezekana hapa Bongo? Nawaapia sasa nimeamini... Read more »

Watu wengine hawana uchungu na pesa za EPA

March 22, 2008

NIMESHAWISHIKA kuandika makala hii baada ya kusoma makala iliyoandikwa na Tambwe Hizza na kuchapishwa na gazeti... Read more »

« Previous PageNext Page »