Anita - Matonya ft JD
April 10, 2008
Blogsphere: TechnoratiFeedsterBloglines
Bookmark: Del.icio.usSpurlFurlSimpyBlinkDigg
RSS feed for comments on this post | TrackBack URI for this post
Comments
25 Responses to “Anita - Matonya ft JD”
Got something to say?


Haya,
Anita hiyo hapo.
Thanks
nimeona mambo yako unatisha,nakupa big up
big up Matonya unatisha.Kitu chako cha anita kimetulia.
kwa bongo mimi ni matonya na mr bluu tu,vjana wanatisha hawa jamani mukubali au la lakini huo ndio ukweli.
oh!!! matonya your songs carry me…down in tears….thanks and keep up…the anita one joh!!!
U are singing very well.u will be the winner of all over Tanzania
l would like to dedecate to my love Mary wherever She is found over Tanzania.
ma u call when sms reached 2 u
thanks alot
Hallo
Nyimbo ya Anita inatisha tonya mshikaji unatisha sana na nyimbo zako zote unazotowa inaniliwaza sana me na mume wangu tuko pamoja me na yy
Hallo
Naipenda sana nyimbo na hamu hainishi kusikiliza nyimbo hii sioni tabu kuirudia mara kwa mara ded to my husband LUCK BOY
Well done masong very nice.
Oman2
thank you for your work,big up matonya
Kwakweli kwa sasa hii nyimbo imeshika kasi,hongera matonya na aliyenakshi kwa sauti ant.binti machozi!
Ujumbe unatosheleza,bit safi,sauti bomba–big up baba
whats up big up for Matonya kweli he is doing well.keep on man.l like your songs expecialy Anita it so sweet songs for my side.
nampa big up matonya anatisha aendelee kutoa vibao vikar zaid ya ivyo
well done endelea kutoa hizo moto moto and thanks
kwa kweli matonya anatisha kishezi ktk fani ya muziki.
Tonya hii nyimbo ni kali ile mbaya!!
aminiya matonya hichokitu kimetuliya big up man
naitwa Paul Henerico wa katoke T.T.C namkubali matonya toka zamani,mbaya zaidi alipoimba wimbo wa anita,sio sili Tonya,hiinyimbo ni kali kinoma ,sio silihuwa inanitach vizuri ,KAZA MWENDO KATOKE T.T.C TUNAKUKUBALI
SIO SILI MATONYA MIMI NAKUKUBALI KWA WIMBO WAKO WA ANITA. NAITWA PAUL
Matonya kazi nzuri na kila kitu kimeshiba. Big smile man.
matonya mimi upcoming msanii ninge taka tupige collabo tafadhali nisaidie niweze kuinuka.natoka nairobi.nakupenda sana .na mungu aguse moyo wako.
Hi Mzee wa Nguvu
Maze song yako inabamba I do dedicate my Girl friend this song each and every time, you’ve made the fire burning in our relationship.
Big up Men keep it up.
I want seethis vidio
I want to see the vedeo so bed
I want to see this vedeo so bed couse im from TZ . He is the one of best artis in Tanzania.