Serikali yatenga Sh8.7bilioni kulipa madai yote ya waalimu ncini
February 25, 2008
SERIKALI imesikia kilio cha walimu kuhusu madeni yao na sasa imetenga kiasi cha Sh8.7bilioni kwa ajili ya kuwalipa... Read more »
Pambano la Simba, Yanga lakabiliwa na mvutano
February 25, 2008
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), limepuuza pingamizi la Simba dhidi ya waamuzi waliopangwa kuchezesha mchezo... Read more »
Mechi kati ya Yanga, Adema sasa kufanyika Jumapili
February 25, 2008
MECHI ya marudiano kati ya Yanga na AS Adema ya Madagascar itatchezwa Jumapili badala ya Jumamosi baada ya Shirikisho... Read more »
Kilichotokea katika ufisadi wa Richmond
February 19, 2008
Ukame na tatizo la uzalishaji umeme nchini KWA takriban miaka mitatu mfululizo kuanzia mwaka 2002 nchi yetu ilikumbwa... Read more »
Ufisadi huu unatisha
February 19, 2008
NIMESOMA muhtasari (Executive Summary) wa Ripoti ya Kamati Teule ya Richmond na nilipata pia fursa ya kumsikiliza... Read more »
Ghafla kila mwana CCM anaipenda nchi yake
February 19, 2008
NI ajabu lakini ndio ukweli wenyewe. Ghafla kila mwana CCM, kuanzia makada, watendaji wakuu hadi wabunge wao wametii... Read more »
Serikali iwawezeshe wajasiriamali
February 19, 2008
SERIKALI ya Awamu ya Nne imedhamiria kuwawezesha wajasiriamali wadogo na katika kudhihirisha hilo, imeshatoa mikopo... Read more »
Marekani yatenga dola bil. 1.2 kukabili malaria
February 19, 2008
SERIKALI ya Marekani imetenga dola bilioni 1.2 kuzisaidia nchi 15 za Kiafrika kukabiliana na ugonjwa wa malaria,... Read more »
Vurugu kampeni za Kiteto
February 19, 2008
SIKU kadhaa baada ya mgombea ubunge wa Kiteto kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Victor... Read more »
Bush azua kizaazaa
February 19, 2008
BAADA ya kupata mapokezi ya kishindo Dar es Salaam mwishoni mwa wiki iliyopita, Rais wa Marekani, George W. Bush,... Read more »

